Panua Timu yako na Paratext Lite
Paratext Lite huwezesha watumiaji kutimiza kazi nyingi za utafsiri kwenye vifaa vya rununu. Mabadiliko katika Paratext Lite yanaweza kusawazishwa na maandishi na madokezo ya mradi mkuu kupitia Mtandao, kuwezesha ushirikiano na timu ya kimataifa.